JAMBO



Jambo tena wanawake wenzetu wa dunia nzima nashukururu sana kuona mumeniunga mkono ju ya mwanamuke na téchnologiya inanitiya moyo sana zaidi na kwa hawa wote wanajitoleya ku traduire mu langue yenye batasikiya kwangu miye nifaida kuona minanzaka sumuliya na wandugu wambali na wa karibu na iniheshimilisha sana jamaa yangu zaidi kwa bwana yangu na kuchanga pamoja na gisi niko handicapée ilikuwa ngufu lakini kupitiya hiyi téchnologiya kweli mambo yote imedilika minashukuru sana mama sujaa. Hqpa niko na magumu ya kusomesha batoto kazi yenye natumika inakosa msahada njo maana minashindwa ,nikonasomesha batoto sita,niko mu nyumba ya kupanga,mume wangu hana kazi na somesha kwa shida ivi siyajua nifanye nini kusudi bafanye examens ya fin d'année na miye nione faida ya kufikisha sauti duniya yote.Aksanti kwa mama wenzangu. English translation by community member Celya Hello again, fellow women from all over the world. I am thankful for your help and linking women and technology has given me a lot of hope. I would like to thank all those who give their time and translate in languages that more people will understand. I see the benefit because I can now communicate with people from here and there and this makes me feel more respected in my family especially by my husband. The fact that I have disabilities doesn't make my situation any easier but thanks to technology, I have seen change in the attitude of people toward me. I would like to thank Mama Shujaa for that. I am currently having a challenge: keeping my children in school. My income can't cover their education and I feel like I am failing. I have six children in school, paying rent, my husband doesn't have a job, it has been really difficult to keep the children in school. I don't know what I'm going to do so that they can do end of year exams which will show me the benefit of making my voice heard all over the world. Thank you fellow mothers.

First Story
Like this story?
Join World Pulse now to read more inspiring stories and connect with women speaking out across the globe!
Leave a supportive comment to encourage this author
Tell your own story
Explore more stories on topics you care about